Memorial created 11-21-2007 by N Chiume |
Kanyama Chiume November 22 1929 - November 21 2007 |
Guest Book Entries are free and are posted after being reviewed for appropriate content.
<<< Prev 1 2 3 4 5 6 7 [8] 9 10 11 Next >>>11-24-2007 6:36 AM -- By: sheria ngowi, From: tanzania I WOULD LIKE TO EXPRESS MY CONDELENCES TO THE FAMILY WHOLE FAMILY OF MR.CHIUME..AND GOD R.I.P.AMEN
11-24-2007 6:34 AM -- By: Godlove Mtengela, From: Dar es Salaam Poleni sana kwa msiba ndugu wa Kanyama Chiume, Sisi tulimpenda sana lakini Mungu kampenda zaidi. Mungu awatie nguvu na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu cha msiba.
Na ahimidiwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, Baba wa rehema, Mungu wa faraja yote; atufarijiye katika dhiki zetu zote ili nasi tupate kuwafariji wale walio katika dhiki za namna zote, kwa faraja hizo, tunazofarijiwa na Mungu. 2 Kor. 1:3,4...... Amen.
11-24-2007 5:55 AM -- By: David Kassiane, From: Tanzania currently live in NewYorkCity Poleni sana wanafamilia,ndugu,jamaa na marafiki,nimeishi na familia ya watoto wa Chiume NewYork na kwa majonzi napenda kutoa rambirambi zangu na naomba tuendelee kuiombea familia hii ili iweze kuwa na matumaini hasa katika kipindi hiki kigumu.Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema penye amani.Amen
11-24-2007 5:51 AM -- By: elisa joshua kuwanze, From: UK To Chiume family, Poleni sana, RIP-KC, Amen.
11-24-2007 5:32 AM -- By: Sadi Shemliwa, From: London, UK When we were born we cried, BUT people around us cheered for joy to have new baby.
When we die we rest in peace, BUT people around us will cry for loss of their beloved one.
While we fall in teers to have lost our beloved Mzee Chiume we should not forget to pray to the almight god to rest his soul in peace.
May the almight got rest his soul in eternal peace
AMIN
11-24-2007 5:21 AM -- By: Sekela Mwandosya, From: UK Poleni sana na msiba Nathan, Miriam and all the family. Our prayers are with you and may he rest in eternal peace. Amen
11-24-2007 4:58 AM -- By: LUCAS MAKAYA MKANDYA, From: Dar- es Salaam , Tanzania I received with profound shock the news of the untimely demise of Kanyama Chiume. The African history and more specifically the history of Malawi, his motherland , will register him as a great man whose life was dedicated in the fight against the oppressions of all kinds. May His Almighty God rest the soul of this great Pan Africanist in eternal peace- Amen
For the bereaved family poleni sana
11-24-2007 4:57 AM -- By: Blandina Kilama, From: Netherlands Poleni sana. I wish you strength during this difficult moment. RIP
11-24-2007 4:55 AM -- By: Ephata Sozigwa, From: TMK, Dar-Es-Salaam Dears,
It is a great loss for both of us that we can not find enough words to say. May god rest his soul in peace, and give strength to the family at this difficult times.
Fau
11-24-2007 4:31 AM -- By: Muhidin Issa Michuzi, From: Dar es salaam Wafiwa,
Nimepokea kwa huzuni kubwa kifo cha Mzee Kanyama Chiume ambaye nina bahati ya kuwa rafiki mkubwa wa watoto wake, hasa Nathan aliyeko New York.
Pokeeni mkono wangu wa rambirambi mkielewa kuwa niko nanyi katika wakati huu mgumu. Tujifariji kwamba sisi tulimpenda ila Mungu amempenda zaidi na kuamua kumtwaa.
Mola iweke roho ya marehemu mahala pema peponi
AMINA
11-24-2007 3:58 AM -- By: Pius, From: Kuala Lumpur Malaysia The Guy made history in his life during the colonial era, Poleni sana na Mungu awape Muyo wa uvumilive katika wakati huu mgumu.
May God rest his Soul in Eternal Peace - Amen
In God we trust!!
11-24-2007 3:10 AM -- By: Cuthbert Swai, From: Daresalaam, Tanzania May the good Lord give you strength and courage
during this difficult time. Remember to persevere
as all things come to pass.
God bless you all.
11-24-2007 2:28 AM -- By: Kiyungi Fundikira, From: tanzania Poleni sana wanafamilia wa Marehemu Kanyama Chiume japokuwa hatupo na nyie kimaumbile tupo na nyie kimawazo, mwenyezi mungu amrehemu apumzishe mahali pema, Amin.tupo wote katika kipindi hiki kigumu, jina lake lihimidiwe,tufurahie maisha yake na kuomboleza kifo chake,mwenyezi mungu amemuhitaji zaidi.
11-24-2007 2:28 AM -- By: chesi, From: Dar He was one of early favorite writers. My God be with you in this hour of sadness.
11-24-2007 1:57 AM -- By: MZELELA MAKWAYA, From: KIGOMA-TANZANIA We have lost a treasury of wisdom of AFRICA,Chiume has passed away but are step of foots we remaining in our mind,we will remember him has realy PAN-AFRICANISM.A new generation shall learn many from his libraly of several articles and extra royal to AFRICA.
We love him,we need him but god has need him much than us.REST IN PEACE
11-24-2007 1:43 AM -- By: Thandika Mkandawire, From: May this great son of Africa rest in peace.
11-24-2007 1:07 AM -- By: Hamza Mandia, From: Tanzania: currently residing in Queens, New York. Napenda kutoa rambirambi zangu kwa ndugu na jamaa wote wa familia ya marehemu Kanyama Chiume "KAZI YA MUNGU HAINA MAKOSA, MBELE YAKE NYUMA YETU..." Poleni sana.
11-24-2007 12:35 AM -- By: Clara Augustine, From: Dar es Salaam Poleni sana familia ya Chiume kwa msiba.You are in our prayers. May his soul rest in peace.
11-24-2007 12:26 AM -- By: Jimmy & Nora Mbwille, From: Minnesota Poleni sana kwa msiba, our thoughts and prayers are with you all.
Rest in Peace KCC.
11-23-2007 11:50 PM -- By: Shabani, From: Amani Tanzania Community Msiba umetugusa kwa kila njia, ni huzuni kubwa kwetu sote.
Tunaungana na familia katika kipindi hiki kigumu.
Menyezi mungu amueke mahala pema penye amani
Amin.
11-23-2007 10:51 PM -- By: Siya Mambali, From: Wichita My thoughts and prayers are with you all.
May he rest in peace.
11-23-2007 10:16 PM -- By: louis ngulukulu, From: poleni sana familia ya mzee mpendwa kanyama chiume,mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi,amina.
11-23-2007 9:58 PM -- By: ndesa, From: rest in peace the son of africa!
11-23-2007 9:49 PM -- By: Rashid Toure, From: Philadelphia, Pa Poleni sana familia ya chiume katika kipindi hiki kigumu, mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
amen.
11-23-2007 9:33 PM -- By: P. N. Bakilana, From: AB, Canada Poleni sana familia ya Chiume , ndugu na marafiki.
Our thoughts, tears and prayers go out to you during this difficult time.
11-23-2007 9:31 PM -- By: cromwell p. msuku, From: ruarwe, nkata bay, malawi I recall a ride he gave my brother and I from Blantyre to Chikwina on our way to Ruarwe for holidays. We spent a night at his house (a mud hut)on his coffee farm before we headed off on a walk home because the roads did not get to Usisya then. I vividly recall this national leader and a member of the Legislative Council as a humble human being who showed genuine care for the aspiring secondary school students and leading them by example. I cannot completely recall and comprehend how inspiring those moments were to me and my brother. May he rest in peace!
Cromwell P. Msuku, MD
11-23-2007 9:12 PM -- By: Francis Ngula, From: Poleni. Tunamwomba mwenyezi Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya marehemu na aizidishie familia, ndugu, jamaa na marafiki nguvu ,imani na amani katika kipindi hiki kigumu Amina.
11-23-2007 9:05 PM -- By: Brian Mazula, From: Detroit,MI Nathan and familly poleni sana.Tuna waombea Mwenyezi Mungu awabariki na awape nguvu katkika kipindi hiki kigumu.May his Soul Rest in Eternal Peace. Amen
11-23-2007 9:05 PM -- By: Pam Lolo, From: Our condolences to Chiume's family. May Lord Rest Mzee Kanyama Chiume Soul In Peace. Amen. Always from Mwailolo's Family
11-23-2007 8:24 PM -- By: Freddie and Wema Chagula, From: North Carolina,USA Poleni sana!!!!
We share the loss of your father with sympathy,No one could fill His space in God's perfect plan, He will be greatly missed.Our thought and prayer for God to bring you peace and comfort during this time. Fred,Wema,Jackie,Wilbert and Grace Chagula.
<<< Prev 1 2 3 4 5 6 7 [8] 9 10 11 Next >>> |