Memorial created 11-21-2007 by N Chiume |
Kanyama Chiume November 22 1929 - November 21 2007 |
Guest Book Entries are free and are posted after being reviewed for appropriate content.
<<< Prev 1 2 3 4 5 6 [7] 8 9 10 11 Next >>>11-24-2007 3:40 PM -- By: Mary Zablon, From: Tanzania Wapendwa Familia ya Mzee Chiume,
Kwa huzuni na masikitiko natoa rambirambi zangu na pole nyingi kwa watoto, ndugu na jamaa kwa pigo hili kubwa lililowapata. Namwomba Mwenyezi Mungu awape nguvu, busara na hekima wakati huu wa maombolezo na pia uvumilivu kukabiliana na pengo lililoachwa. Mungu aipumzishe mahali pema roho ya Marehemu Chiume.
11-24-2007 3:29 PM -- By: nafisa Mnondwa, From: toronto,canada Pole sana Nathan na wengine wote mloguswa na msiba huu, mwenyezi mungu akupeni nguvu na wepesi katika kipindi hiki kigumu.
11-24-2007 2:43 PM -- By: augustino malinda, From: washington DC poleni sana, na msiba huu mkubwa ingwa sijawahi kubahatika kumuona mzee wetu lakini kutokea kwa ndugu na kiongozi mwenzangu Michael chiume nimeguswa na msiba huu. poleni sana na Mungu awape faraja katika kipindi hiki kigumu.
wafilipi 4:4
11-24-2007 2:28 PM -- By: Chikosa Silungwe, From: Coventry, England May the soul of Kanyama Chiume rest in peace.
11-24-2007 1:40 PM -- By: Elifaa Kinyaiya, From: Minneapolis Nathan and family,
Mungu awafariji katika kipindi hiki kigumu. Tupo nanyi kwenye sala na maombolezi.
Kinyaiya's family.
11-24-2007 1:32 PM -- By: Inder Bajaj, From: Dar es Salaam--Tanzania I had met Mr. Kanyama Chiume only once--he had created a life long impression on me as a true son of Africa--My condolences to the family and friends--he will be greatly missed.May God rest his soul in peace
11-24-2007 12:55 PM -- By: MATHAYO MWAKAGAMBA, From: Makongo, Dar es salaam Tutamkumbuka sana Chiume kwa mchango wake wa ukombozi wa bara la afrika, demokarasia na makala nzuri kwenye magazeti ya uhuru, mzalendo, daily news na Sunday news...Bara la afrika limepoteza mtu muhimu..Bwana alitoa na sasa ametwaa, lihimidiwe jina lake! Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya Kanyama Chiume.Amen
11-24-2007 12:53 PM -- By: Mhagama Family, From: Los Angeles Akina Chiume-
Poleni na msiba mzito wa Mzee mpendwa.Mungu ndiye mwenye kutoa na ni yeye mwenye kutwaa.Sala na maombezi yetu ni kwenu hasa katika kipindi hiki kigumu.Mungu awazidishie imani na uvumilivu na tukiomba aiweke roho ya marehemu Mzee mahala pema peponi.Afrika nzima,Daima tutamlilia mzee wetu.
11-24-2007 12:47 PM -- By: Naima Abdallah Besta, From: Dar es Salaam (currently in UK) William, Eunice and the rest of Chiume fammily, May God give you strength and console you at this difficult moment of the lost of your father who was a great man and inspiration to the social justice loving people.
May God rest his soul in eternal peace. Amen.
11-24-2007 12:34 PM -- By: Amani Shao, From: Boston May the Almighty God rest his soul to eternal life,
Amen.
11-24-2007 12:33 PM -- By: Angela Msimbira, From: FL My condolences to your family, may you find strength during this difficult time and May his soul rest in Peace.
11-24-2007 12:28 PM -- By: Mmanywa, Lucas & Anna, From: Winston-Salem, NC Poleni sana kwa msiba ulio wakuta. Tunawaombea Mungu azidi kuwatia nguvu, na kuwapa faraja na amani kwa wakaki huu mgumu.
...Naye Mungu atayafuta machozi yote machoni mwao. Revelation 7:17.
You are in our prayers.
11-24-2007 12:18 PM -- By: Paul Mwaitenda, From: Ohio Poleni sana na mungu ailaze roho ya marehemu pema peponi. Amina.
11-24-2007 11:04 AM -- By: Michael Mlowe, From: Tanzania Kwa niaba ya familia ya Mlowe napenda niwape pole na Mungu awape roho ya uvumulivu ktk kipindi hiki kigumu.Pia tunamwombea marehem na Mungu aiweke roho yake mahala pema peponi, Amina.
11-24-2007 11:01 AM -- By: Joseph L Mbele, From: Mbinga (Tanzania), currently in the USA What sad news. I never met Mzee Kanyama Chiume, but I knew him as a writer and a great Pan-Africanist, who meant a great deal to us Tanzanians. I am greatly saddened by his departure and pray that God rest his soul in Eternal Peace and console and fortify his family, friends, and all who mourn and remember him.
11-24-2007 10:42 AM -- By: Paul T. Rupia, From: Randolph, MA. Kwa familia ya Mzee Kanyama Chiume Poleni sana na msiba, Mungu awape baraka na nguvu katika kipindi hiki kigumu na tunamwombea marehemu apumzike kwa amani.
Amina.
11-24-2007 10:29 AM -- By: Hilda Mshuza, From: Dar es Salaam Pole sana Nathan,William,Miriam and the rest of the family. May God give you strength during this difficult period.
11-24-2007 10:23 AM -- By: Blair Sibale, From: chitipa wenya but currently in Tokyo Japan It is a great loss to the chiume family and malawi nation for losing this great hero and freedom fighter at this time when we needed to learn something from this gentleman. may his soul rest in eternal peace. Poleni sana
Blair.
11-24-2007 9:49 AM -- By: julius katanga, From: DC By Julius Katatnga from DC
Mungu amlaze mzee wetu mahali pema na awape faraja wafiwa.
11-24-2007 9:37 AM -- By: the Ngoma Africa Band, From: Germany TUNAMASIKITIKO NA UDHUNI MKUBWA KUSIKIA HABARI ZA KIFO CHA MZEE KANYAMA CHIUME(Mwanamapinduzi,mwandishi),TUNATOA POLE NA RAMBI RAMBI KWA NDUGU NA JAMAA WOTE WA MAREHEMU MZEE KANYAMA CHIUME,MUNGU AMLAZE MAHALA PEMA PEPONI.AMIN
11-24-2007 9:30 AM -- By: prosper mtango, From: linköping,sweden poleni sana,mungu aiweke roho yake mahali pema,Amen
11-24-2007 9:23 AM -- By: Kusenha Mazengo, From: London Poleni sana...yote ni mapenzi ya Mungu.
11-24-2007 8:34 AM -- By: Rajah Mbeyu, From: Nagoya , JAPAN May Almighy GOD rest your soul in peace. Your the great African hero. We will always remember you.
BLESSING!
11-24-2007 8:14 AM -- By: Sambayawo Gwebe Nyirenda, From: Francistown, Botswana Another great legend has passed on. Uncle Kanyama, thank you for the many memories.... you guys will always be with us, with your grandkids and the generations to come...
Kwacha, you are all in our thoughts and prayers
11-24-2007 8:08 AM -- By: Joseph MM Sichalwe, From: Tabora-Tanzania Nimepokea kwa Masikitiko makubwa sana kuhusu msiba wa huyu mzee wetu vile vile napenda kuchukua nafasi hii kuwapa pole ndugu na jamaa wa karibu waliopatwa na msiba huu mkubwa na hasa wanae na ndugu wa karibu,nakumbuka kukutana nae Dar miaka ya '80 nikiwa shule ya msingi alikuwa rafiki yake saana baba yangu mdogo yeye pamoja na mzee mwingine aliyeitwa Chirwa!Mungu aiweke Roho yake mahala pema peponi,apumzike kwa Amani AMEN
11-24-2007 8:06 AM -- By: Zohrah Kajembo (mrs Majebele), From: United Kingdom HI All,
poleni sana kwa msiba, yote ni kazi ya ke mola ni kumuombea, wote tunaenda huko huko ila mwenzetu katangulia.
Takecare
Regards
Zohrah
11-24-2007 8:02 AM -- By: Noel Kaganda, From: Mother Africa has lost one of her solid pillars; a pillar that stood to be counted and one that fought domination and oppression from wherever and whomsoever! He has been far from home for so many years. Home coming; his soul together with memories of his great triumphs. A hero for Malawi, a hero for Africa. May his Soul Rest in Eternal Peace. Poleni sana watoto na ndugu wa Kanyama Chiume.
11-24-2007 7:03 AM -- By: Dhiren Thakrar, From: London, UK A really great man - A real hero, Malawi and Malawians need te recognise his contribution to our nation. AN autobiagraphy is over due on his life - the facts of his life and his contributions should be known by all Malawians - now and in the future - he is part of our history. REST IN PEACE GREAT MAN
11-24-2007 7:02 AM -- By: Dr Mussa, From: Kigoma-Tanzania May his soul rest in peace, our hero
11-24-2007 6:56 AM -- By: WATIPASO MKANDAWIRE, From: LONDON. UK My family and I send our deep condolences to the Chiume family during this period of sorrow and celebration of the life of one of the admirable sons of Malawi. May God give you strength as you grief and hope as you remember his life and contributions to family, country and world. RIP
<<< Prev 1 2 3 4 5 6 [7] 8 9 10 11 Next >>> |